Friday, September 16, 2016

Kitu pekee kinachoweza kuwapendeza wapenzi wa muziki kuhusu toleo jipya la Tecno Phantom 6 au 6+


http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/09/Tecno1-300x194.pngTECNO Phantom 6 kuzinduliwa karibuni inakuja na iafoni zilizotengenezwa na chuma kwa midundo ya kupagawisha. Nakubaliana na hilo, lakini ukiongelea sifa kuu ya Tecno Phantom 6, ni ubora wa spika zake, jambo ambalo limevumisha porojo hizi.

Phantom 6/6 + yenye midundo ya ukweli ya kukata na shoka
Tunaweza dhani kuwa midundo yenye ubora inatoka tuu kwenye sabuwufa zenye uwezo mkubwa kama hiyo hapo chini.
woffer

Hakuna shaka kuwa ilishazoeleka kuwa hivyo, mpaka nano chip walio mashuhuri kama Mediatek walipofanya majaribio ya chipsets ikiwemo MT8507 kwa wachuuzi wa EOM; wenye teknolojia iliyobobea kwenye utengenezaji wa spika.
Mapinduzi hayo kwa upande wa smartohones yalikuwa patashika.
UBORA WA SPIKA ZAKE NI WA UHALISIA BILA MUSHKERI
Ubora wa iafoni hizi ni wa kipekee, zikichuja sauti kwa kiwango cha hali ya juu bila mushkeri wowote unaweza kutumia kusikiliza muziki na hata kucheza video game. Jambo ambalo hatuna uhakika nalo mpaka sasa ni wapi hasa tunaweza pata iafoni hizi orijino za TECNO Phantom 6, kwa sababu bila kuwa na iafoni hizi kiwango hautoweza kufurahia midundo ya nguvu ya mega Volts ya
nano chips
.
phone
Hivi awali matoleo yaliyopita ya TECNO yakiwemo Phantom Z and Phantom 5 yamekuwa yakisifiwa na watumiaji kwa ubora wake wa iafoni na spika ikitumia teknolojia ya Dolby ukilinganisha na matoleo mengine. Swali lilopo hivi sasa ni, TECNO Phantom 6 itafuatia matoleo hayo ama kuna muuzaji mpya anayetarajiwa.

0 comments:

Post a Comment