Thursday, September 15, 2016

umeipata hii diamond platnumz ni msanii pekee afrika kutajwa kuwania vipengele vingi zaidi kwenye tunzo za afrimma

Image may contain: 1 person
hii ni moja ya caption ya diamond plunumz akiwashukuru mashabiki wake kwa kumsadia kuwa nominated kwenye hizo tunzo.
Jus wanted to thank you and tell you that your Favorite got 5 nominations on @afrimawards NIGERIA.... Let's the Voting game Biginning now...!!!!

(Ningependa kuwashukuru na kuwajuza kuwa kijana wenu nimechaguliwa kwenye vipengele Vitano kwenye Tunzo za @afrimawards tafadhali msiache kunipigia Kura kupitia link iliyo kwenye BIO ya @afrimawards ili kwa pamoja tufanikishe kuleta nyumbani... shukran🙏 )

0 comments:

Post a Comment