ELIZABETH Asenga (40),mkazi wa jijini Dar es Salaam amepandoshwa kortini leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za Kutumuita Rais John Magufuli 'Kilaza'
Akisoma Mashtaka hayo Leonard Chalu Wakili wa Serikali Mbele ya Huruma Shahidi alidai kuwa mtuhumiwa Huyo alifanya kosa la matumizi mabaya ya Mtandao.
Chalu alidai kuwa mtuhumiwa aliandika kwenye mtandao wa what's app kuwa '
Good Morn humu , Nakuja Rais kilaza kama huyo wetu ,angalia anampa Lissu umashahuli fala lile, Picha yake ukiweka Ofisini nuksi tupu ukiamka asubuhi ukikutana na picha yake kwanza siku inakuwa inamkosi mwanza mwisho,
Mshitakiwa amekana mashtaka yake upelelezi wa shauri letu haujakamilika .
Mtuhumiwa amepewa dhamana yenye mashart yabwadhamini wawili kila mmoja asaini hati ya Sh.3 millioni. Shauri hilo litatajwa tena tarehe 22
0 comments:
Post a Comment