Friday, January 2, 2015

Jocate Ajibu mapigo ya Diamond kukataa kumzalia diamond mtoto Asema diamond hana Akili timamu

Staa wa urembo, muziki, filamu na ujasiriamali Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ au ‘Jojo’ amemrushia maneno makali aliyewahi kuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuwa hana akili timamu kufuatia maneno aliyotoa kuwa enzi za uhusiano wao, eti mwanadada huyo alikuwa akichenga kumzalia mtoto.

Jokate Ameliambia Gazeti Moja Maarufu Kuwa mwanaume mwenye Akili timamu awezi kuongelea mambo kama hayo ya mahusiano kwenye vyombo vya habari akitangaza kila mwanamke aliyekuwa naye alikataa kumzalia mtoto.

0 comments:

Post a Comment