Monday, January 5, 2015

MWIGIZAJI MANAIK SANGA AKATA SHAURI,AAMUA KUPELEKA POSA KUMUOA JACKLINE WOLPER


Mwigizaji wa Bongo Movies Manaiki Sanga Amefunguka kuwa mwaka huu Ameamua kukata shauri na kuhakikisha anapeleka Posa kwa wazazi wa Jack Wolper ili kumuoa Jack , Manaiki Sanga amemwagia sifa kede kede Jack Wolper na kusema ni mwanamke mrembo sana na yupo tayari kufanya lolote ili ampate labda tu tatizo kubwa liwe kwake lakini hawezi kubadilisha nia yake.

0 comments:

Post a Comment