Habarini wadau,
Hili nina ushahidi nalo, wengi wao nimegundua wana roho mbaya kwakweli na nina mifano mingi tu.
Yaani hao huwa wanaona kama watu wengine wasio walokole ni waovu tu.
Niliwahi kushauriwa kuwa ni bora umuoe msichana aliyecharuka na kupitia
starehe zote za dunia akatulia kuliko anayejiita mlokole namimi sasa
naamini ule ushauri ni mzuri.
Naamini wapo wanawake wacha Mungu kweli ila wapo neutral kama hawa
waroman catholic na walutheri na huwa hawajikuti sana na kujiona
watakatifu kama walokole.
Mabinti wa kilokole mbona mpo hivyo? Au ni stresses za makanisani kwenu?
Tuesday, September 20, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment