Wasanii
wanaoshiriki kwenye tamasha la Fiesta, wamechangia shilingi milioni 40
kusaidia waathirika wa tetemeko la ardhi lililosababisha vifo na
kuharibu makazi ya maelfu ya wananchi hususan mkoani Kagera.
Wasanii hao Ijumaa hii walitembelea bungeni Dodoma na Naibu Spika, Dkt Tulia Ackson, kutangaza mchango wao.
“Asanteni
sana vijana wetu na wasanii wetu kwa zoezi mlilokuja kufanya leo lakini
pia kwa mchango wenu kwaajili ya maafa ambayo yametupata kama taifa,”
alisema Dkt Ackson.
Friday, September 16, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment